Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Victoria wagubikwa na Ugomvi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
305
Reaction score
728
HUU NI UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA VICTORIA, UCHAGUZI HUO UMEFANYIKA USIKU WA TAREHE 24.05.2024, WAMEPIGANA
KWA KUTUHUMIANA KWA VITENDO VYA RUSHWA.

WAMEANZA KUPIGANA WAO KWA WAO....TUTAONA MENGI SANA...YETU MACHO.

KWA HALI HII MWISHO WA CHADEMA UMEKARIBIA.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Vinavyowatafuna machawa na vinavyowatafuna watz na taifa kwa udhamini wa wala kwa urefu wa kamba hauvioni🤔
 
Kwanini waliamua kufanya usiku
Jambo kubwa Kama Hilo
Na hao wajumbe si viongozi pia

Hivi Wenje yupo bado kanda hiyo ?
 
Sio mbaya Sana
Walau wameleta amsha amsha kidogo ndani ya chama
Vyama vingine amsha amsha ni Taifani tu
 
Kwani Chadema kuna ugomvi au ni CCM imeona itumie nguvu kuwanyamazisha wapambanaji hawa.
 

Ukiona waafrika hawapigani katika uchaguzi ujue kuna kundi moja limeamua kuwa kondoo au kundi la wajinga.

Waafrika hawana ustaarabu wa kuchaguana kwa haki na kufuata taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…