Kada Mzalendo
Senior Member
- Oct 9, 2024
- 142
- 97
Kakuahidi nafasi Gani?Akishinda Heche narudi CHADEMA
vyovyote vile tunakwenda na Heche na Lisu safari hii hatutaki siasa ya ukondooNguvu aliyenayo Mbowe + msaada wa CCM na Dola ni nani wa KUMSHINDA?
MBOWE NI CHAWA WA MAMAInavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.
Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.
'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
Tangu niwe na ufahamu kamili Sijawahi kuamini kama Mbowe ni Mpinzani, nadiriki kusema pia kuwa hata Lema anaweza asiwe Mpinzani wa Kweli!. Hawa ndugu wapo Kimaslahi zaidi, Mbaya zaidi hata kwenye Mazungumzo hawana hoja za kushawishi masikio ya watu (Nikosolewe if i am wrong).
Lissu ama Heche nikiri hawa Wanavutia kusikilizwa, wana hoja thabiti na mara nyingi hawatumii Matusi na Mihemko, akili zao zimetulia katika Kujenga hoja, Misimamo yao haiyumbishwi na Vipande vya Fedha ama dhahabu, Hawa wapo katika Njia ya Dr. Slaa, (Bahati Mbaya alikengeuka ingawa tunaweza kujustify kukengeuka kwake)!
Kwa upinzani Imara na kuondoa sintofahamu ya Demokrasia na Ukabila ndani ya Chama ni Vema Heche awe Mwenyekiti!
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!n
Unaonaje ukienda NCCR mageuziAkishinda Heche narudi CHADEMA
Kwahiyo unasemaje? Ni chama cha wanachama au chama cha Mbowe binafsi?Bila Mbowe hakuna CHADEMA, Hakuna CHADEMA bila Mbowe sasa endeleeni kuijaribu sumu kwa kuilambaš¼
Mistake kubwa sana hii katika siasa za Mbowe!kumkubali Sumaye na Lowassa.
Hata ile kutoka jela aliofungwa na Samia kwa makosa ya uongo ya ugaidi, wakati kosa lake la ukweli lilikuwa kudai katiba mpya na tume huru.Mistake kubwa sana hii katika siasa za Mbowe!
Hii ndio maana ya uzalendoHata ile kutoka jela aliofungwa na Samia kwa makosa ya uongo ya ugaidi, wakati kosa lake la ukweli lilikuwa kudai katiba mpya na tume huru.
Alikuwa kwenye mkutano Mwanza kudai katiba mpya, tume huru alikuwa anaungwa mkono na Watanzania wengi. Wengi walimpigania atoke jela.
Sasa anatoka jela stop ya kwanza ikulu. Picha, asali, nusu mkate akaacha kupigania katiba mpya, tume huru akaingia kuwa chawa wa Samia kusifia, kutukuza, kumpa tuzo.
Hakukuwa na tofauti yoyote kati ya Mbowe, Kinana, Makamba, Nape, Lema, Mrema wote walikuwa worship and praise team ya Samia adui wao wore ilikuwa awamu ya tano. Hapo ndipo Mbowe alipoteza credibility yake yote kwa watu makini. Hayo ndio yalikuwa matunda, na makubaliano yao ya maridhiano.
Nani mzalendo?Hii ndio maana ya uzalendo
well said MkuuHata ile kutoka jela aliofungwa na Samia kwa makosa ya uongo ya ugaidi, wakati kosa lake la ukweli lilikuwa kudai katiba mpya na tume huru.