Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa Sasa ni dhahiri timu mbili za Heche na Mbowe zaanza kutoshana nguvu moja yasikika toka Arusha nyingine toka Singida

Mistake kubwa sana hii katika siasa za Mbowe!
Wengine wanasema kuwa alitaka kuing'oa the green team kwa gharama yoyote. swali ni je Mamvi angeshinda mustakabali wa CDM ungekuwaje? Je sera ya Demokrasia na kupinga ufisadi ya CDM ingeendelea? Waelevu wanasema alikaribisha CC B ipambane na CC A huku CDM wakiwa wanasubiri nusu mkate ya uwaziri mkuu na ubunge.
Hakuangalia kabisa CDM ilipata kura asilimia ngapi 2010. Hakutathimin kabisa athari zake kwa CDM.

Lingine amewageuza wanasiasa hodari kuwa washauri hodari.
 
Iwe iwavyo, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshafikia ukingoni. Ni kweli ameifanyia cdm mengi mazuri, lakini wakati ni ukuta. Sasa ni wakati wa cdm kupata taswira na mwelekeo dhabiti.
 
Sasa mkiwaleta wanaharakati na waropokaji kina Lisu sio tuu mtapigwa ban Bali mnaweza kufutwa usajili maana hao watu Huwa hawatumii akili ila mihemko.

On top of that watalazimisha mambo mwisho wa siku mtachezea kibinyo na kurudi selo huku anaewasaidiaga kipesa bwana Mbowe akiwa anawa zoom tuu.

Mwisho wagombea wengi wataegemea kwenye pesa hata Mimi ningeegemea huko badala ya huko Kwa kina Lisu wenye njaa wanaotegemea bakuli na swaga zisizoleta hela 😂😂😂😂

Siasa ni maisha
 
Heche akishinda CCM watakaa mguu sawa.Heche hanaga mbamba za kutumwa na mwenyekiti wa CCM taifa kupeleka michango kanisani.
 
Heche ni sawa
 
Akipita Heche nahidi kuwapasort Chadema
 
Lissu na Heche ni watu wenye misimamo mikali sana kitu ambacho CCM wanaogopa mno
 
Mbowe hawezi kuachia Chama kabisa
 
Ngoja tuwaone
 
Nafuu Heche
 
Mbowe hana nguvu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…