CHADEMA wanaojiita watenda haki Leo uchaguzi wavurugika Njombe washindwa kufikia mwafaka kupata viongozi wanaowataka.
---
Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ufanyike leo Mjini Njombe umevurugika tena baada kufuatia baadhi ya wanachama wa chama hicho kudai kutoridhishwa na wajumbe halali waliotakiwa kupiga kura kuwachagua viongozi hao.
Awali uchaguzi huo ulifutwa kwa madai ya kutofuata kanuni za uchaguzi na hatimaye leo haujafanikiwa kwa mara nyingine huku chanzo kikitajwa kuwa ni wajumbe kutoka jimbo la Makete kutokuwa na uhalali kwa kupiga kura za kuchagua viongozi hao kwa mara nyingine.