kwa mimi ninavyofaham faculty inategemea na matumizi ya chuo husika maana fuculty is a division within a university comprising one subject area or a number of related subject area. Maana yake inaweza kuwa sawa na college e.g college of humanities and social sciences, au school e.g school of busness. Ndo huwa wanaita "kitivo" kwa kiswahil ingawa sina uhakika sana. Ila degree program ndiyo hizo vijana mnazo hangaika na hao tcu wenu ili mkasome chuoni ambapo ndani yake kuna course inaenda mpaka kwenye test, assigment, course work, ue, gpa na mwisho wa siku ndo unatunukiwa degree.
Am standing to be corrected! OVER!