Naima Ernest
Member
- Apr 5, 2013
- 41
- 22
UKATIBU MKUU BAWACHA NANI NI NANI? HAPO LEO TAREHE 18 / 05/2021 - MWANZA
1. ESTER DAFFI
UIMARA
👉🏼Ni kijana aliyekulia kwenye Chama toka Bavicha ya John Heche akiwa Naibu Katibu Mkuu Bavicha Chini ya Deogratius Munish.
👉🏼Amekuwa Afisa Utawala na Rasilimali Chadema Makao Makuu.
👉🏼Amekuwa Afisa Sheria katika Kurugenzi ya Sheria Chadema Makao Makuu.
👉🏼Amekuwa Afisa Mtendaji Ofisi ya Makao Makuu ya Bawacha Taifa.
👉🏼Ameshiriki Project nyingi za wanawake za ndani na nje ya Nchi.
👉🏼Anaungwa Mkono na wanawake wengi wa kawaida ambao wanamatumaini ya kupata Bawacha Mpya itakayotambua wanawake wengine kwenye Fursa za Baraza.
👉🏼Yuko tested akaonyesha Uvumilivu.
MAPUNGUFU
👉🏼Haungwi Mkono na waliokuwa wabunge wa Chadema wa Viti maalumu 2015.
👉🏼Anapambana na Wagombea 2 ambao wote wanaushawishi katika makundi mbalimbali kwenye Chama.
2. ASIA MSANGI
UIMARA
👉🏼Amekuwa Mwenyekiti wa Bawacha Jimbo la Ukonga.
👉🏼Amekuwa Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ukonga kwa awamu Mbili mfululizo.
👉🏼Anafahamika kwa watu wengi hasa kutokana na Ushiriki wake By election kama Mgombea wa Chadema Ukonga baada ya Mwita Waitara kuhama Chadema.
UDHAIFU
👉🏼Hana ushawishi mkubwa kwa wanawake hasa mikoani kulinganisha na wenzake.
👉🏼 Ukaribu wake na Mbunge wa Kawe kupitia CCM Askofu Gwajima akiwa kama Msaidizi wake linaweza kumuondolea Imani kwa wapiga kura hasa Kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa Bawacha ambayo anaenda kuwa Mjumbe wa secretariet ya Chama Taifa na kamati Kuu .
3. CATHERINE RUGE
UIMARA
👉🏼Amekuwa Mhazini wa Chadema kanda ya Serengeti 2017 - 2019.
👉🏼Amekuwa Mbunge wa kuteuliwa Chadema 2017- 2020.
👉🏼Amekuwa Mhazini wa BAWACHA Ya Halima James Mdee 2019 Mpaka Sasa.
👉🏼Anafahamika na wengi nje na ndani ya Baraza.
👉🏼Anaungwa Mkono na waliokuwa wabunge wenzake wa Viti maalumu Chadema 2015 - 2020
👉🏼Amekuwa Mgombea wa Ubunge Jimbo Serengeti 2020.
UDHAIFU
👉🏼Wengi wanamuona ni sehemu ya Timu ya Halima Mdee kwamba alikosa nafasi kwasababu tu Mkoa wake wa Mara ulikuwa na Ushindani (Bulaya na Matiko)
👉🏼Wengi wanamuona kama sehemu ya uongozi wa Halima Mdee ambao unatuhumiwa kutengeneza makundi ndani ya baraza (Kundi la wanaostahili kunufaika na Fursa za Bawacha na Kundi lisilostahili kunufaika)
👉🏼Wengi wanaona Kuungwa mkono kwake na wabunge wenzake wastafu karibu wote ni kiashiria cha Kuendelea kulinda Fursa za kundi hilo ambalo wamekuwa wanufaika wakubwa wa Fursa za Baraza ikiwepo Ubunge wa Viti maalumu nk.
👉🏼Wengi wanamuona kama mtu anayejisikia na mwenye uwezo mdogo wa kuunganisha wanawake ndani ya baraza.
👉🏼Wengi wanamuona kama Msomi lakini asiye na uwezo wa kuongoza baraza pamoja na kulisemea.
Ndimi.
Alyoce