Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
- Thread starter
-
- #21
Hukumuona Uhuru akifanya kampeni?Daaa kama ulitumia muda ukawaza na kuamua kuandika hiki ulichoandika basi akili yako ni mzigo. Sasa chadema au Lowassa angeenda kufanya nin wakati hakukuwa na aina yoyote ya KAMPENI
Hata kwa balimi haimezeki.
Ndio kulikuwa na kampeniKwani safari hii kulikuwa na kampeni? Au kuna mahali panakuwasha?
$ walizolipwa zimewafunga midomoChadema mbona safari hii kimya? Lowasa hakwenda tena Kenya kumpigia Uhuru kampeni na hatukusikia tena makelele kuhusu "baba wa demokrasia". Kulikoni?
hahahaha we BAVICHA una vitukoNasikia rafiki wa Magufuli kakigeuza chama chake cha ODM kuwa cha kigaidi NRM, National Resistance Movement, eti ataingia msituni wamemwambia labda aende msitu wa Chato.
View attachment 617308
Yanayotokea Kenya yatatokea Chama kinacho muunga mkono Kenyatta , kwani wao nimapachaChadeama wamebugi stepu.