Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ndio unaotumia pesa nyingi kuliko nchi yoyote duniani

Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya ndio unaotumia pesa nyingi kuliko nchi yoyote duniani

Kenya 2022 General Election
dola tisa na si dola tisia! Hawa waandishi wa habari sijui wakoje!
Hhhhhh icho ndo kiswahili cha kenya tisia bhana na sio tisa
Macho=Mato
Anaumia=yuwaumia

Nafurahi nikisia kiswahili cha kenya
 
Hhhhhh icho ndo kiswahili cha kenya tisia bhana na sio tisa
Macho=Mato
Anaumia=yuwaumia

Nafurahi nikisia kiswahili cha kenya

Eti hawa ndiyo wafundishe kiswahili Uganda.
😂 🤣 😂
 
Ruto anapoteza muda na pesa zake atakuja zijutia bora afugie ng'ombe. Hata wakuu wa dunia awamkubali
 
Back
Top Bottom