UCHAGUZI WA M/KITI CHADEMA: Kama Yericko Nyerere na Ex mayor hawamtaki Lissu kwa nini wasichukue fomu?

John Manoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2020
Posts
244
Reaction score
167
Wanabodi,tangu Mhe.Tundu Lissu atangaze kubadili kusudio la kugombea makamu Mwenyekiti na kutangaza kusudio la kugombea Uenyekiti wa CHADEMA kumekuwa na maneno mengi mno.
Kinachofurahisha ni kusikia mapungufu ya Lissu ya kabla hajatangaza kusudio lake,siku ya mkutano wa kutangaza kusudio na siku ya aliyochukua fomu.
Mapugufu haya ya Lissu yamesemwa sana baada ya kutangaza nia yake ambayo kimsingi,ni haki yake ya kikatiba ndani ya CHADEMA. Lakini wanaompinga katika nia yake hiyo,wanajaribu kumtumia Mhe. Mbowe,mtu ambaye hajatangaza kusudio lolote hadi muda huu wa tarehe ya leo.
Inawezekana ni kwa makusudi fulani kujaribu kumpambanisha Lissu aliyetangaza kuwa atagombea na Mbowe ambaye hajatangaza kusudio lake.
Mhe. Mbowe ana historia kubwa ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla wake. Hata Lissu hawezi kujilinganisha naye, lakini si vema wapenda viongozi (machawa)kulazimisha CHADEMA kiwe/kibaki chama cha viongozi badala ya kuwa Taasisi ya Umma.Kwa sasa haitafaa CHADEMA kuwa na viongozi wanaofarakana katika kutafuta uongozi ambao Mhe. Mbowe alisema wanajitolea! Na kutoka kwa wanachama waliopitia mikononi mwa Mbowe mwenyewe.
Ingalifaa, kabla ya kumpambanisha Mhe. Mbowe na au kumshinikiza na au kumhauri agombee,wapingaji wa Mhe. Lissu wangetangaza wenyewe makusudio ya kugombea na kuchukua fomu.Kutangaza unamchukulia fomu Mhe. Mbowe ambaye hajatangaza kusudio lolote ni jambo linalopswa kutanguliwa na kwenda kujilipia mwenyewe hiyo fomu.
Kama Yericko Nyerere na Boniphace Jacb hawamtaki Lissu na wanawivu na CHADEMA,wachukue fomu ili tujue ubora wao kulinganisha na mapugufu ya Mhe. Lissu ,wanaojua alivyobebwa na chama waje washindane kwenye kampeni,vinginevyo wote wanaompinga Lissu watakuwa wanaipinga CHADEMA moja kwa moja. Ikiwa hivyo,watakuwa na nia ovu na maadui wa jamii ya watanzania wapenzi na wanachama wa CHADEMA.
Hawatakuwa tofauti na MACCM yanayosubiri CHADEMA wagombane,kwa faida yao.
 
CHADEMA CHINI YA MBOWE, IS A MOBB GANG!
°kuna wajanja na
°Wajinga, wajanja hawazidi watu kumi, lakini wajinga ni almost watu milioni 2-5
 
Kuna watu mirija yao ipo moja kwa Moja kwa mbowe,

Sa itakuaje akiachia uenyekiti
 
Wanabodi,tangu Mhe.Tundu Lissu atangaze kubadili kusudio la kugombea makamu Mwenyekiti na kutangaza kusudio la kugombea Uenyekiti wa CHADEMA kumekuwa na maneno mengi mno.
Kinachofurahisha ni kusikia mapungufu ya Lissu ya kabla hajatangaza kusudio lake,siku ya mkutano wa kutangaza kusudio na siku ya aliyochukua fomu.
Mapugufu haya ya Lissu yamesemwa sana baada ya kutangaza nia yake ambayo kimsingi,ni haki yake ya kikatiba ndani ya CHADEMA. Lakini wanaompinga katika nia yake hiyo,wanajaribu kumtumia Mhe. Mbowe,mtu ambaye hajatangaza kusudio lolote hadi muda huu wa tarehe ya leo.
Inawezekana ni kwa makusudi fulani kujaribu kumpambanisha Lissu aliyetangaza kuwa atagombea na Mbowe ambaye hajatangaza kusudio lake.
Mhe. Mbowe ana historia kubwa ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla wake. Hata Lissu hawezi kujilinganisha naye, lakini si vema wapenda viongozi (machawa)kulazimisha CHADEMA kiwe/kibaki chama cha viongozi badala ya kuwa Taasisi ya Umma.Kwa sasa haitafaa CHADEMA kuwa na viongozi wanaofarakana katika kutafuta uongozi ambao Mhe. Mbowe alisema wanajitolea! Na kutoka kwa wanachama waliopitia mikononi mwa Mbowe mwenyewe.
Ingalifaa, kabla ya kumpambanisha Mhe. Mbowe na au kumshinikiza na au kumhauri agombee,wapingaji wa Mhe. Lissu wangetangaza wenyewe makusudio ya kugombea na kuchukua fomu.Kutangaza unamchukulia fomu Mhe. Mbowe ambaye hajatangaza kusudio lolote ni jambo linalopswa kutanguliwa na kwenda kujilipia mwenyewe hiyo fomu.
Kama Yericko Nyerere na Boniphace Jacb hawamtaki Lissu na wanawivu na CHADEMA,wachukue fomu ili tujue ubora wao kulinganisha na mapugufu ya Mhe. Lissu ,wanaojua alivyobebwa na chama waje washindane kwenye kampeni,vinginevyo wote wanaompinga Lissu watakuwa wanaipinga CHADEMA moja kwa moja. Ikiwa hivyo,watakuwa na nia ovu na maadui wa jamii ya watanzania wapenzi na wanachama wa CHADEMA.
Hawatakuwa tofauti na MACCM yanayosubiri CHADEMA wagombane,kwa faida yao.
Wezi wote wa chadema wako kambi ya Mzee Mbowe
 
Boni yai na yeriko ni machawa sugu wa mbowe, eti boni yai anasema Kanda ya pwani Iko salama, kisa hakuna aliyeenda mkutano wa lids😂
 
chukua wewe
 
Back
Top Bottom