Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Bisha tu lakini huo ndiyo ukweli. Ni nchi gani duniani itabakia salama kama Marekani kutakuwa na utawala wa hovyo?ndio ni uchaguzi wenye athari fulani fulani lkn si kwamba ni kama pumzi ya uhai ya kwamba unatupa kula,kunywa n.k
sidhani kama neno "hatima ya dunia" limetumika vyema hapa labda kama limebadilishwa maana!
Itachukua miaka mingapi kufika huko tuendako?... lakini, huko tuendako, itabaki HISTORY!!
... unafuatilia yanayoendelea Duniani?Itachukua miaka mingapi kufika huko tuendako?
Kama mambo ya BRICS? Au yepi hayo yanayoendelea duniani ambayo unataka kuyafanya rejea kwa hoja yako?... unafuatilia yanayoendelea Duniani?
Umemaliza 100%✓Utake usitake uchumi wa Marekani unaathiri bakuli la mboga mezani kwako! Utaniuliza kivipi? Ni kwasababu kila bidhaa ya kigeni kutoka nje inanunuliwa kwa Dollar ya Mmarekani! Uchumi wa Marekani ukiimalika thamani ya Dollar nchini kwako inaimarika (Dollar haipandi). Uchumi wa Marekani ukishuka au kuyumba kitu cha kwanza kufanya ni kupandisha thamani ya Dollar hivyo huwe na uhakika thamani ya hela yako (local currency) itashuka sana na Dollar kupanda sana kupelekea ugumu wa maisha kiasi cha kutoweza kumudu hata kilo moja ya nyama! Anayeongoza uchumi wa dunia muogope sana!
Wengine wanabisha tuUmemaliza 100%✓