mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Mar 7, 2016 #21 labda Kama hatuwajui wazanzibar sio wapole kiwango hicho! Ngoja waundiwe jukwaa Lao JF ndo tutaanza kuwajua
labda Kama hatuwajui wazanzibar sio wapole kiwango hicho! Ngoja waundiwe jukwaa Lao JF ndo tutaanza kuwajua
shungurui JF-Expert Member Joined Sep 1, 2008 Posts 3,765 Reaction score 5,160 Mar 7, 2016 #22 maonomakuu said: CCM wana mbinu 100 na mpaka sasa wametumia asilimia 20 Click to expand... Sita kweli wana mbinu moja tuu ya kuiba kura.
maonomakuu said: CCM wana mbinu 100 na mpaka sasa wametumia asilimia 20 Click to expand... Sita kweli wana mbinu moja tuu ya kuiba kura.
chipaka.com JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,883 Reaction score 1,189 Mar 8, 2016 #23 Mawakala wa cuf hawatokuwepo itakuwaje???
happymwashi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 980 Reaction score 846 Mar 8, 2016 #24 Minaomba waarab watufunzie adabu hawa fisi bila hivyo watazid kutubabaisha! Nshachoka
M mwembemdogo JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 2,282 Reaction score 1,252 Mar 8, 2016 #25 Uchaguzi wa Zanzibar suala muhimu ni Dr. Shen kuwa Rais tu