Mimi ni mwenyeji wa wilaya ya Ludewa, mkoa mpya wa Njombe., lakini siishi huko. Wana Ludewa wenzangu, nimepata habari kuwa, mgombea ubunge aliyepita sasa aligawa kadi nyingi kwa wanafunzi wa shule za Manda, lakini mbunge anayemaliza muda wake alishinda sehemu zingine zote. Ushindi wa huyu mgombea mpya umetokana na hao wanafunzi. Kama ndiyo kweli alifanya hivi, kama atapita katika uchaguzi wa Oktoba, je tunajivunia tunaye mbunge? mimi nasema HAPANA.