Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Haiwezekani waliochaguliwa wote ni wale wabaya wenye sura za karafuu na maumbo ya pilipili manga. Halafu warembo halisi wenye sura na uzuri wa asili kama mie Mshangazi na miss Gf tukawekwa kapu moja.
Cha ajabu zaidi nilipotaka kuhoji nikapigwa ban siku 7 na uchaguzi ukaendelea.
Sio haki kabisa na kwa hilo nitafungua kesi ya kupinga matokeo mahakamani na ninamtaka Mama Abdul aingilie kati jambo hili ili haki itendeke.
MOVEMENT 4 CHANGE