Uchaguzi wa Miss JF 2024 UMECHAKACHULIWA. Naenda MAHAKAMANI.

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Haiwezekani waliochaguliwa wote ni wale wabaya wenye sura za karafuu na maumbo ya pilipili manga. Halafu warembo halisi wenye sura na uzuri wa asili kama mie Mshangazi na miss Gf tukawekwa kapu moja.

Cha ajabu zaidi nilipotaka kuhoji nikapigwa ban siku 7 na uchaguzi ukaendelea.

Sio haki kabisa na kwa hilo nitafungua kesi ya kupinga matokeo mahakamani na ninamtaka Mama Abdul aingilie kati jambo hili ili haki itendeke.

MOVEMENT 4 CHANGE
 
Nimeshafungua jalada la kesi ...

na ushahidi nishakusanya tayari
 


πŸ˜˜πŸ˜‚ You seem so sweet and beautiful oline, but isije ikawa kinyume chake, uzuri wa wanawake hapa JF kwa sie wanaume ni tako na sura, kama huna hivyo vigezo wala hutapewa kura za ushindi..!!πŸ˜…
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wakili wetu Msomi Peter Kibatala
 
πŸ˜˜πŸ˜‚ You seem so sweet and beautiful oline, but isije ikawa kinyume chake, uzuri wa wanawake hapa JF kwa sie wanaume ni tako na sura, kama huna hivyo vigezo wala hutapewa kura za ushindi..!!πŸ˜…

Na kuhusu jinsi yake is just an hypothesis yet. 😎

-Kaveli-
 
Hahaha mimi mbona nilishasema kwenye hayo mashindano vigezo vilishanipita 🀣wakileta mashindano ya ushangazi nistue
 
Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…