Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ilitakiwa wapinzani wamuache apite bila kupingwa alafu wamuambie hili wazo. Pesa nyingi zinapotea bure.Nani akukopeshe, JPM.? aache kwenda kujenga chato akukopeshe kijana.? Hana roho nzuri hivyo
Alishasema hasikilizi ushauri wa mtu, mbona mnasahau harakaIlitakiwa wapinzani wamuache apite bila kupingwa alafu wamuambie hili wazo. Pesa nyingi zinapotea bure.
Kwa akili hizi wewe hata huo mkopo hutakiwi kupewa.Ilitakiwa wapinzani wamuache apite bila kupingwa alafu wamuambie hili wazo. Pesa nyingi zinapotea bure.
To be fair kajenga bchi nzimaNani akukopeshe, JPM.? aache kwenda kujenga chato akukopeshe kijana.? Hana roho nzuri hivyo
Sasa hawa waliogombea si kupoteza pesa na muda? Angalia mgombea wa Updp na Chauma.Kwa akili hizi wewe hata huo mkopo hutakiwi kupewa.
Hakuna raisi ambaye hajawi kujenga nchi nzima, acheni ushabiki wa kindeziTo be fair kajenga bchi nzima
Ila kuna watu walishauri vizuri,JPM apite bila kupingwa ili kuokoa gharama,wapinzani wakawa wabishi. Na huu ndio upinzani usiofaa.Sasa Kama wameng'ang'ania Eti Demokrasia
na Vibendera wana mjaza Upepo Kwamba Watamshinda Magufuli
Waache wajifurahishe ila mie naimani Tar 28
Watakiona
Wapo anaowasikiliza na bado wamempeleka Chaka,Hadi anatamani aombe msaada kwa mpinzani wake.Alishasema hasikilizi ushauri wa mtu, mbona mnasahau haraka
Inshort hamna point muhimu wa mtu yoyote kumchagua lissu au kumuacha Magu, point ya wapinzan ni kuminya democrasia, maoni yangu ni hajaminya bali kawaminya wasidanganye, waongee vitu vya facts na si uongouongo, na kampain imepewa nguvu, mbna marekani wanafanya hivyoHakuna raisi ambaye hajawi kujenga nchi nzima, acheni ushabiki wa kindezi
Na wewe nenda kamshauri Magufuli ajitoe ili Lissu apite bila kupingwa ili tuokoe gharama! Hizi akili za kijinga ndizo hurudisha nyuma nchi!Ila kuna watu walishauri vizuri,JPM apite bila kupingwa ili kuokoa gharama,wapinzani wakawa wabishi. Na huu ndio upinzani usiofaa.