Uchaguzi wa Mwenyekiti umethibitisha Chadema " kilikuwa" Chama kikubwa kama yule Akida alivyosema Hakika Huyu alikuwa Mwana wa Mungu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni Wiki ya 3 Sasa Uchaguzi wa Chadema umefunika Media zote hata shamra shamra za sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar hazisikiki sana

Baada ya Yesu Kufa Msalabani yule Akida akajipigapiga kifua na kusema " hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu wa Mbinguni"

Chadema inakufa na Ukubwa wake kisa Mesenja Yeriko kaleta balaa

Mlale unono 😂😂🔥
 
Mnafiki ni mtu wa kumuogopa sana
 
Kigogo mmoja wa Ikulu aliniambia mwezi wa 6 2024 kuwa watahakikisha Mbowe na Lisu hawakai sehemu moja tena, kisa wao wanamuhofia Lisu atamharibia kwenye uchaguzi mkuu maza, maana wakiwa wamoja Mbowe na Lisu maza hatoboi, niliamini ni utani lakini nakiri CCM ina uwezo mkubwa sn ikiamua.
 
Lisu akilipwa fedha za matibabu atatulizana
 
Ni Wiki ya 3 Sasa Uchaguzi wa Chadema umefunika Media zote hata shamra shamra za sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar hazisikiki sana

Baada ya Yesu Kufa Msalabani yule Akida akajipigapiga kifua na kusema " hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu wa Mbinguni"

Chadema inakufa na Ukubwa wake kisa Mesenja Yeriko kaleta balaa

Mlale unono 😂😂🔥
Kilo ya nyama ya mbwa hapo Iringa ina bei gani?
 
Mwimbo mpya unaandaliwa huko wa "Lissu tuvushe..." ✌️🔥🔥🔥 team lissu tumeshanusa ushindi.
 
Ni Wiki ya 3 Sasa Uchaguzi wa Chadema umefunika Media zote hata shamra shamra za sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar hazisikiki sana

Baada ya Yesu Kufa Msalabani yule Akida akajipigapiga kifua na kusema " hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu wa Mbinguni"

Chadema inakufa na Ukubwa wake kisa Mesenja Yeriko kaleta balaa

Mlale unono 😂😂🔥
Jericho ni mpuuzi tu, ana ubishibwa kitoto, anashabikia ujinga wenye akili kwenye mgogoro wa rusia vs ukraini tulimuuliza je ni halali soveregn state mapja kuivamia sovereign state nyingine akaleta Habari za kipuuzi

Tukamuuliza ikiwa ni sawa je ni sawa ccm kuivionea na kavikandamiza vyama pinzani na chama yake inclusive akajiuma uma bila majibu

Juzi tumemuuliza tena je mna uhalall gani kutetea katiba mpya yenye ukomo wa mihuhula ya uongozi, anajibu utumbo tu

Yule kina hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom