johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnafiki ni mtu wa kumuogopa sanaNi Wiki ya 3 Sasa Uchaguzi wa Chadema umefunika Media zote hata shamra shamra za sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar hazisikiki sana
Baada ya Yesu Kufa Msalabani yule Akida akajipigapiga kifua na kusema " hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu wa Mbinguni"
Chadema inakufa na Ukubwa wake kisa Mesenja Yeriko kaleta balaa
Mlale unono πππ₯
Tundu lisu: Nikishinda hakutakuwa na Maridhiano wala kualikana kwenye Vikao visivyojulikanaMnafiki ni mtu wa kumuogopa sana
Apumzike inatoshaMbowe must go...
Mbowe ni Mugabe wa Tanzania
Kesho atahojiwa na Masoud Kipanya pale clouds πApumzike inatosha
SureMnafiki ni mtu wa kumuogopa sana
Mpaka sasa hajaeleza kwenye miaka 5 ataifanyia nini CHADEMA zaidi ya kulalamika tuKesho atahojiwa na Masoud Kipanya pale clouds π
Lisu akilipwa fedha za matibabu atatulizanaKigogo mmoja wa Ikulu aliniambia mwezi wa 6 2024 kuwa watahakikisha Mbowe na Lisu hawakai sehemu moja tena, kisa wao wanamuhofia Lisu atamharibia kwenye uchaguzi mkuu maza, maana wakiwa wamoja Mbowe na Lisu maza hatoboi, niliamini ni utani lakini nakiri CCM ina uwezo mkubwa sn ikiamua.
Kwani miaka 20 amefanya nini? πMpaka sasa hajaeleza kwenye miaka 5 ataifanyia nini CHADEMA zaidi ya kulalamika tu
Kilo ya nyama ya mbwa hapo Iringa ina bei gani?Ni Wiki ya 3 Sasa Uchaguzi wa Chadema umefunika Media zote hata shamra shamra za sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar hazisikiki sana
Baada ya Yesu Kufa Msalabani yule Akida akajipigapiga kifua na kusema " hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu wa Mbinguni"
Chadema inakufa na Ukubwa wake kisa Mesenja Yeriko kaleta balaa
Mlale unono πππ₯
Lisu hata wewe CCM unamuogopa haswaLisu akilipwa fedha za matibabu atatulizana
Kuna kazi kafanya haswa kuwa chama kikuu cha upinzani siyo kazi ndogo, sema kaja kuharibu hapaKwani miaka 20 amefanya nini? π
Mbona Yeriko Nyerere hamuogopi? πLisu hata wewe CCM unamuogopa haswa
Chama kikuu Cha Upinzani ni ACT WazalendoKuna kazi kafanya haswa kuwa chama kikuu cha upinzani siyo kazi ndogo, sema kaja kuharibu hapa
Jericho ni mpuuzi tu, ana ubishibwa kitoto, anashabikia ujinga wenye akili kwenye mgogoro wa rusia vs ukraini tulimuuliza je ni halali soveregn state mapja kuivamia sovereign state nyingine akaleta Habari za kipuuziNi Wiki ya 3 Sasa Uchaguzi wa Chadema umefunika Media zote hata shamra shamra za sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar hazisikiki sana
Baada ya Yesu Kufa Msalabani yule Akida akajipigapiga kifua na kusema " hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu wa Mbinguni"
Chadema inakufa na Ukubwa wake kisa Mesenja Yeriko kaleta balaa
Mlale unono πππ₯
Hana akili timamuMbona Yeriko Nyerere hamuogopi? π
Hiyo ni kwa mawazo ya UWT, ruzuku kubwa baada ya CCM ni CDMChama kikuu Cha Upinzani ni ACT Wazalendo