Uchaguzi wa mwenyekiti wa bunge la katiba na jenda

Uchaguzi wa mwenyekiti wa bunge la katiba na jenda

Kibagata

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
773
Reaction score
135
Huu sasa ni wehu, haiwezekani uongozi wa BUNGE la katiba agenda ya mwanamke iingie sasa, hizi ni hila za CHENGE na group lake baada ya kuona MH SITTA anaelekea kuwa mwenyekiti sasa anaingiza kipengele cha kudai mgawanyo wa jinsia, nakemea hili kwa jina la yesu
 
Kukemea ni sawa lakin kumbuka ile imepitishwa na wajumbe kwny kanu wanazotengeneza, mm naomba nikuulize ivi kuna IMPACT gan endapo atakuwa mwanamke au mwanaume, mm sioni madhara yoyote, cha kuomba MUNGU tu ni kuwa ataekuwa makamu mwenyekiti asiwe POLITICAL BASED.
 
Ni vizuri katika nafasi zote watu wakachaguliwa kwa uwezo na sifa walizonazo but sio kutumia kigezo cha gender katika kumchagua mtu
 
Back
Top Bottom