Tetesi: Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa kusimamiwa na Waangalizi kutoka Vyama Vya Demokrasia Duniani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hizi Ndio habari mpasuko nilizopenyezewa hivi punde kwamba Muungano wa Vyama vya Demokrasia Duniani utatuma Waangalizi wake kwenye Baraza Kuu la Chadema litakalochagua Mwenyekiti wa taifa

Ngoja niishie hapo nikiendelea kutafuta Uhakika huko Duniani

Jumaa Mubarak 😃
 
Pesa za Abdul na mamake zitashinda. Kwanza nani kachukua fomu zaidi ya Alwatan aliyelambishwa asli?
 
Hizi Ndio habari mpasuko nilizopenyezewa hivi punde kwamba Muungano wa Vyama vya Demokrasia Duniani utatuma Waangalizi wake kwenye Baraza Kuu la Chadema litakalochagua Mwenyekiti wa taifa

Ngoja niishie hapo nikiendelea kutafuta Uhakika huko Duniani

Jumaa Mubarak [emoji2]
Ni wanachadema tu ndiyo watakaohamua nani awe m/kiti wao. Hayo mengine mtateseka sana. Shughulikeni na mgombea ndani ya CCM wa kiti cha Urais 2025, form itakuwa moja au zaidi.
 
Tutashuhhulika naye muda ukifika

Kwa sasa Chadema Ndio Habari ya mjini 🐼
 
Hizi Ndio habari mpasuko nilizopenyezewa hivi punde kwamba Muungano wa Vyama vya Demokrasia Duniani utatuma Waangalizi wake kwenye Baraza Kuu la Chadema litakalochagua Mwenyekiti wa taifa

Ngoja niishie hapo nikiendelea kutafuta Uhakika huko Duniani

Jumaa Mubarak 😃
Ngoja tuone 😄
Habari njema hii! Mafunzo kwa mbogamboga uwazi ni lazima nyambaf
 
Hizi Ndio habari mpasuko nilizopenyezewa hivi punde kwamba Muungano wa Vyama vya Demokrasia Duniani utatuma Waangalizi wake kwenye Baraza Kuu la Chadema litakalochagua Mwenyekiti wa taifa

Ngoja niishie hapo nikiendelea kutafuta Uhakika huko Duniani

Jumaa Mubarak 😃
Wanakuja kusimamia Uchaguzi wa Mgombea mmoja tena yuleyule kama enzi za Mwalimu Nyerere miaka ya sitini! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom