johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni wanachadema tu ndiyo watakaohamua nani awe m/kiti wao. Hayo mengine mtateseka sana. Shughulikeni na mgombea ndani ya CCM wa kiti cha Urais 2025, form itakuwa moja au zaidi.Hizi Ndio habari mpasuko nilizopenyezewa hivi punde kwamba Muungano wa Vyama vya Demokrasia Duniani utatuma Waangalizi wake kwenye Baraza Kuu la Chadema litakalochagua Mwenyekiti wa taifa
Ngoja niishie hapo nikiendelea kutafuta Uhakika huko Duniani
Jumaa Mubarak [emoji2]
Mpaka awanyooshe... Akitoka yeye anaingia Mnyika au Heche. Mtanyooka tuMbowe naye astaafu.
Tutashuhhulika naye muda ukifikaNi wanachadema tu ndiyo watakaohamua nani awe m/kiti wao. Hayo mengine mtateseka sana. Shughulikeni na mgombea ndani ya CCM wa kiti cha Urais 2025, form itakuwa moja au zaidi.
Mbowe aliahdi kustaafu ifikapo 2023, ngoja niemdelee kusubiri huenda atatangaza kustaafuMbowe naye astaafu.
Ilikuwa aanze Mbowe kisha angefuatia Zitto lakini ni vice versa πΌMbowe aliahdi kustaafu ifikapo 2023, ngoja niemdelee kusubiri huenda atatangaza kustaafu
Ngoja tuone πLissu kawaharibu Lumumba ni MAYOWE
Hizi Ndio habari mpasuko nilizopenyezewa hivi punde kwamba Muungano wa Vyama vya Demokrasia Duniani utatuma Waangalizi wake kwenye Baraza Kuu la Chadema litakalochagua Mwenyekiti wa taifa
Ngoja niishie hapo nikiendelea kutafuta Uhakika huko Duniani
Jumaa Mubarak π
Habari njema hii! Mafunzo kwa mbogamboga uwazi ni lazima nyambafNgoja tuone π
ππHabari njema hii! Mafunzo kwa mbogamboga uwazi ni lazima nyambaf
Wanakuja kusimamia Uchaguzi wa Mgombea mmoja tena yuleyule kama enzi za Mwalimu Nyerere miaka ya sitini! Ahahahahaha!!!Hizi Ndio habari mpasuko nilizopenyezewa hivi punde kwamba Muungano wa Vyama vya Demokrasia Duniani utatuma Waangalizi wake kwenye Baraza Kuu la Chadema litakalochagua Mwenyekiti wa taifa
Ngoja niishie hapo nikiendelea kutafuta Uhakika huko Duniani
Jumaa Mubarak π