Uchaguzi wa rais wa TAA Abdul Sykes dhidi ya Julius Nyerere 1953

Uchaguzi wa rais wa TAA Abdul Sykes dhidi ya Julius Nyerere 1953

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
UCHAGUZI WA RAIS WA TAA: ABDUL SYKES NA JULIUS NYERERE UKUMBI WA ARNAUTOGLO 1953

Kumekuwa na mwamko mpya wa kutaka kuijua historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.

Wadau wengine wa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika wamenitembelea kwa nia ya kujua vipi Julius Nyerere alichaguliwa kuwa Rais wa TAA mwaka 1953.

Wametaka pia kuwajua wazalendo wengine waliokuwa na Nyerere katika kipindi kile cha kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Zaidi wakataka kujua wanawake wa mwanzo katika harakati za kupigania uhuru.

Nikawaambia tumzungumze Mama Daisy mke wa Abdul Sykes, Mama Maria Nyerere, Bi. Zainab maarufu Mama Muni mke wa Ally Sykes na Daisy bint yao.

Nikaeleza kuwa hawa mama zetu watatu na mtoto wao Daisy wameona kwa macho yao yote yaliyotokea wakati TANU inaanza kudai uhuru wa Tanganyika.

PICHA: Gangana Info Channel wakifanya kipindi, Aisha "Daisy" Sykes, Mama Daisy wa kwanza kushoto, Bi. Titi Mohamed katika maandamano ya TANU na Bi. Zainab (Mama Muni).

Screenshot_20210930-190748_Facebook.jpg
 
Hata iwe vipi ni ujinga kumhukumu mtu asiye na hatia aliyekuepo kwa kutumia historia ya watu waliokufa tayari huko zamani.

Hongera kwa uzi wako mzee wangu
 
Back
Top Bottom