Pre GE2025 Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 kutoa uelekea wa uchaguzi Mkuu 2025?

Pre GE2025 Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 kutoa uelekea wa uchaguzi Mkuu 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Unadhani kwa mazingira bora na tulivu haya ya uhuru, haki na usawa wa kidemokrasia yaliyopo sasa hivi Tanzania, ni chama kipi miongoni mwa vyama vya siasa zaidi ya 20, vyenye usajili wa kudumu na wa muda nchini, kinaweza kua kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuibuka kidedea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kuibuka na ushindi mnono zaidi maeneo mengi zaidi nchini na hivyo kujiweka kwenye mazingira mazuri zaidi ya kuibuka tena na ushindi wa kishindo kikuu kwenye uchaguzi mkuu ujao wa Oct.2025, kwa kutumia sera zake nzuri, mipango mikakati bora na wagombea waadilifu, makini na wanao kubalika na kuaminika kwa wananchi?

Kwa kifupi na kwa kutumia mifano,
unadhani kususia uchaguzi, kugomea matokeo au kuandamana kumewahi kuleta manufaa yoyote kwa waanadamanaji au wananchi, hususani Tanzania? :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom