Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ni uchaguzi usio huru na haki, tunaomba mamlaka iangalie namna ya kurudiwa kwa uchaguzi maeneo mbalimbali ambayo wagombea wa upinzani wametekwa, kupotea na wengine kuuliwa.
Kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza sehemu mbali mbali nchini mawakala wa vyama vya upinzani kukamatwa na Jeshi la Polisi.
Inaonyesha kuna matukio mbalimbali ambayo hayatakiwi kuvumiliwa hata kidogo kwa kuwa, yanahatarisha usalama na amani ya nchi yetu.
Swali kwa Serikali ya CCM, ikiwa mna uwezo wa kupora haki ya wagombea wa upinzani kwa kupeleka masanduku ya kura feki vituoni.