Bado unamaanisha kile nilichosema... Kipindi hicho hakizidi miaka 10! Tutafanikiwa, tushaumia, tunaumia na tutaumia lakini kuna siku maumivu yatapata dawa. Siku si nyingi!Wewe Invisible ulivyosema kipindi cha ukombozi hakizidi miaka 10 umenifanya nikate tamaa zaidi... ningelipenda iwe ndani ya miaka 6 ijayo!!
Mbona mnatuchanganya? si mlituambia hapa matokeo ya chaguzi za Kiteto, Tarime, Busanda na Biharamulo yanaonyesha watanzania wameamka na sasa wapo tayari kwa mabadiliko, iweje leo mnatuambia watanzania hao hao wamekata tamaa?
Mimi nadhani wananchi wameshastukia komedi za Chadema na genge ala "wapiganaji" na sasa wanafungamana na chama dume. kilichobaki msubiri kipigo kitakatifu tu. So far almost 10% ya wagombea wa CCM hawana mpinzania katika ngazi mbalimbali za chaguzi za mitaa na vitongoji.
Na bado mtalalama sana mwaka huu
Huu ni ule msumari wa Mzee Yusufu