Elections 2010 Uchaguzi wa spika: CCM imevunja katiba ya nchi!

CCM wako above the law na katiba in general
 
Tuna wanasheria kibao na wajuzi wa mambo ya katiba...watusaidie uchaguzi wa spika usimame kwa kuvunja katiba. Lakini kwa kuwa wengi wetu bado tumelala usingizi wa pono...mambo yatapita kama ilivyo kawaida!
 

CHADEMA SI MUMCHUKUE SITA. Kwani tabu iko wapi, wao wameamua kubadili safu na nyie pangeni ya kwenu.

Vyanma vingine si vielewi kabisa, baada ya kueleza ushupavu wa MABERE MARANDU mnakimbilia kuwakosoa ccm.

AAAH kweli hata kutoshirikiana kwa vyama vya upinzani ni dhambi ya CCM!!!!!!
 

Katiba ya nchi inavunjwa, unaelewa maana yake hili ?
 
Sitta Sasa Hafai Tena kwa Sababu Hakutaka Kuendeshwa Kama Kapu la Ndizi. Leo Wanaona Ukweli Mwingi Bila Sitta Usingejitokeza na Kweli Tuliona Mengi Sitta Alipoutwaa Uspika. Wananchi Wanapewa Msomi Mwingine Ambaye Rekodi Zake ni Kafanya Kazi Chini ya Chama CCM. Safari Hizi Zitaisha Lini? Huyo Mama Yeye Amefanya Vitu Gani, Hasa kwa Wananchi? Tunaomba Rekodi na Tuone Kama Yeye na Sitta Nani ni Kuongozi Kweli. Sitta Tumwemwona na Kafanya Kazi Ingawa Mazingira Yalikuwa Magumu, Ninachoomba Sitta Aseme Ukweli ili Tujue Kilichomfukuzisha Kazi Ni Nini? Hongera Sitta Mara Mia!
 
Huu si lolote bali ni mkakati mpya wa CCM wa ku "put the sexy the back" in mafisadi wa CCM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…