Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 190
Ili kuwafanya Spika na Naibu Spika wawajibike bila kuwa na upendeleo kwa wabunge wa chama chochote igekuwa vema Katiba Mpya iweke uteratibu wa Spika na Naibu Spika kuchaguliwa na Vyama vilivyo na Wabunge kwenye Bunge husika. Vyama hivyo pia vipewe mamlaka ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Spika au Naibu Spika pale anapoonekana kutotimiza majukumu yake ipasavyo.
Vyivyo hivyo na kwa uchaguzi wa Wabunge wanaowakilisha kwenye Bunge la Afrika Mashariki na kwenye Taasisi nyingine za nje.
Vyivyo hivyo na kwa uchaguzi wa Wabunge wanaowakilisha kwenye Bunge la Afrika Mashariki na kwenye Taasisi nyingine za nje.