Pre GE2025 Uchaguzi wa Tanzania 2025 ni vita vya kijasusi ya mashirika makubwa ya Ulaya, Amerika dhidi ya Russia na Mataifa ya kiarabu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
1,472
Reaction score
2,766
Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!

Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!

Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!

Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!

Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!

Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!

Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!

Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.

Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!

Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!

Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!

Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!
 
Moderators heading in vya mashirika ya kijasusi,badili kidogo hapo!
 
Mkuu amka usije ukakojolea kitandani!!
 
Kwa kifupi serikali ya ccm kujielekeza kwa waarabu na kuwapa miradi mikubwa ni tiketi yao ya kukosa urais 2025. Kivyovyote vile urais 2025 chini ya Sa100 hauwezi kwenda CCM.
Ina maana wazee wa.chama wamekubali kukiweka chama rehani!!?Ina maana sisi makada tunafanyaje sasa!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…