Organic Live Food
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 127
- 236
Wana Jf habari za kwenu.
Tulihimizwa sana tujiandikishe na elimu ikatolewa kwa wingi sana. Tulielewa tulioelewa tukajiandikisha
Sasa tunahimizwa tukashiriki uchaguzi tukawachague viongozi tunaowataka
Swali: Tunaenda kumchagua nani kama wagombea wanaenguliwa?
Binafsi nimepoteza matumaini namuonea huruma kijana anaepambana kusifia hata pakukemea.
Soma Pia:
Namuonea huruma mzalendo aliebaki anayejitahidi kutufumbua macho maovu yanayondelea.
Kumbuka hili kuna kikundi cha watu kimejimilikisha hii nchi. Mateso hayataisha ewe chawa.