Uchaguzi wa TFF kufanyika Tarehe 07/08/2021

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu,

Kikao cha Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichofanyika leo jijini Dar kikiongozwa na Rais wa TFF, Wallace Karia kimepitisha rasmi Uchaguzi mkuu wa TFF utafanyika tarehe 07/08/2021.
 
Karia angempisha mwingine aje atakaeweza angalau kupanga ratiba ya mechi ligi kuu pasiwepo na viporo kila mwaka.
 
Karia angempisha mwingine aje atakaeweza angalau kupanga ratiba ya mechi ligi kuu pasiwepo na viporo kila mwaka.
Hivi Unaweza Kuamini Kwamba Kombe La FA Simba Mechi Zote amechezea Home na Yanga Mechi Zote Alikuwa anacheza Away? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…