samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Hakuna mahali nimeandika kwamba wadada kuchaguliwa ni tatizo ila nimetoa taarifa kwamba wanafunzi wamemchagua mdada debora pamoja na makamu wake ambaye pia ni binti sasa wewe ulitaka niandike walimchagua mkaka debora?!! Au wewe ndo unajaribu kuleta dhana ya ubaguzi wa kijinsia! Usikurupuke kaka ili nawe uonekane umechangia tafakari kwanza usiwe kama makamba.