KAMBONA
New Member
- Jun 8, 2011
- 3
- 0
wahenga walisema Vita ya kunguru furaha ya panzi.leo ilikuwa siku inayosubiliwa kwa hamu na kila mtu udsm,wengine waliyatalajia yaliyotoke kwa kuzingatia uchaguzi uliotanguria (CASS) wakati wajumbe wa tume ya uchaguzi walipoamua kumbadilisha mgombea wa nafasi ya uenyekiti akagombee ubunge nawa ubunge akagombee uenyekiti siku ya screening.leo ilikuwa ni kali zaidi kwani katibu wa kamati ya uchaguzi aligoma na kuamua kutoka nje baada ya kuchukuliwa watu wawili wa mwisho kati ya watu kumi na saba.alidai wanajiandaa kwenda kulipinga katika ngazi zinazo husika wakati huku mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi na wajumbe wengine wakienda kunywa bia meeda club.alipo hojiwa ULOWA mmoja wagombea uraisi waliopita akasema bahati huwa aikosekani katika siasa.