Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 ngazi ya Urais Zanzibar kama jinsi matukio yanavyotujia kutoka kwenu. Ukiwa na taarifa yoyote upande huu tafadhali usisite kuweka.
Wanaowania kinyang'anyiro hiki ni;
NLD - Mfaume Khamis Hassan
NCCR-Mageuzi - Leila Rajab Khamis
AAFP - Said Soud Said
Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Dkt. Hussein Ali Mwinyi
TLP - Hussein Juma Salum
NRA - Khamis Faki Mgau
ACT Wazalendo - Othman Masoud Othman
ADA-TADEA - Juma Ali Khatib
UPDP - Hamad Mohammed Ibrahim
ADC - Hamad Rashid Mohamed
MAKINI - Ameir Hassan Ameir
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi Zanzibar soma >
GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025