Mie nachokijua ni kwamba,yule mgombea toka Uganda ni ndugu wa karibu wa yule Muasi wa Uganda,na alikuwa na mbinu chafu.Hakuwa Mkandara aliyemsimamsiha ila wa TISS walitoa maoni hayo.
Na nakubaliana na wao kwa hili,ifikie wakati tuanza kujiuliza hawa wageni wako hapa kwa faida ya nani.
Yule kijana ni mmoja wa Watu wanaosoma hapa ili waje kuwa waasi.na naomba mchkue kumbukumbu za huyu kijana..
Ukisikia propaganda hii ni iko kwenye top ten.
Yaani yule mganda alikuwa ndugu ya muasi wa uganda? kwi kwi kwi sasa hii imefikia kilele.
Jamani Mukandala, what happened to you?!
Mwafrika wa kike,
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza,na siyo kila kitu ukijue kwa sababu wewe unajua,mie nakwambia jambo ambalo nalijua.
siyo propaganda,na kwa taarifa yako kaangalie passport yake utajua katika kipindi cha likizo amekuwa akienda kukutana na nani na walizungumza nini.
Ni mmoja wa ndugu wa karibu waasi wa LRA Uganda.
Sitaki kumtetea mtu ambaye ni muasi,kijana yule ni mtu hatari sana kwa usalama wa nchi yetu.
Mie nachokijua ni kwamba,yule mgombea toka Uganda ni ndugu wa karibu wa yule Muasi wa Uganda,na alikuwa na mbinu chafu.Hakuwa Mkandara aliyemsimamsiha ila wa TISS walitoa maoni hayo.
Na nakubaliana na wao kwa hili,ifikie wakati tuanza kujiuliza hawa wageni wako hapa kwa faida ya nani.
Yule kijana ni mmoja wa Watu wanaosoma hapa ili waje kuwa waasi.na naomba mchkue kumbukumbu za huyu kijana..
Wewe hiyo passport yake umeiona wapi?
Na kama ni ndugu ya waasi wa uganda, je una taarifa kuwa waasi wa uganda ni kabila la huko UG so anybody can be related to one of them?
Kwa maelezo yako, kila munyamulenge au mhutu hapo Tanzania inabidi asisome chuo kikuu kwa vile ana undugu na waasi wa congo na Rwanda, si ndio?
Joseph Kony ni mtu hatari sna,kwa taarifa yako..kuna mambo mengi haujui ila natamani kukwambia,ila habari ndiyo hiyo.Mkandara has nothing to do about that.Hard to swallow
Kwani hao TISS walikuwa wapi mpaka wasubiri wakati wa uchaguzi wa hao watoto wa chuo?
Kama kweli ni ndugu wa karibu wa Joseph Kony mbona hawakuanza kuwafukuza akina Prof.Wamba Dia Wamba ambao walikuwa hapa nchini tena hapo UDSM akishiriki mapambano DRC.
Inasadikika Kabila baba na mtoto wote walikuwa wakiendesha vita wakiishi TZ,Na Joseph kasoma Pale taasisi ya elimu watu wazima Dar.Sasa huyu hata kama anampinga M7 sisi haitusaidii.
Angalia humo vyuo vikuu mbona wahadhiri wageni wengi,je tuwachunguze nao?
Joseph Kony ni mtu hatari sna,kwa taarifa yako..kuna mambo mengi haujui ila natamani kukwambia,ila habari ndiyo hiyo.Mkandara has nothing to do about that.
Mkandara wilkl remain there until he decide to leave the office.