Uchaguzi Yanga kufanyika Machi 10

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Yanga, uliosimamishwa kutokana na baadhi ya wanachama kufungua kesi Mahakamani, sasa umepangwa kufanyika Machi 10, mwaka huu

Awali, uchaguzi huo ulipangwa kufanyika Januari 13, 2019 lakini uliahirishwa baada ya baadhi ya wanachama wa klabu hiyo kuweka pingamizi Mahakamani

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Ally Mchungahela, amesema leo watakutana na kamati mpya ya Yanga kujadili kwa pamoja hatima ya uchaguzi huo
 
Litakua ni jambo la heri. Muhimu amani itawale na haki itendeke kwa wagombea.
 
Ngoja tuone mana kila ikifika tarehe ya uchaguzi wanasogeza mbele
 
Bado wanasimamiwa au wameshakua na wanaweza kufanya uchaguzi wenyewe?
Ni aibu kubwa hata uchaguzi kusimamiwa na TFF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…