Alex Mponela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 254
- 109
Not necessarily Manji, whoever has strong financial ability, and commitment to run our club successfully is more than welcome! Let us think big and go to the next level. Michezo inataka pesa, usijidanganye dogo! Hakuna maskini jeuri.Kwahiyo mnahitaji hela za Manji kuendeshea yanga ? Very poor !
Umeandika ukweli lakini Yanga mnataka kuendesha timu yenu kwa hela ya Manji ? Hebu iambie dunia hapa ikusikie .Not necessarily Manji, whoever has strong financial ability, and commitment to run our club successfully is more than welcome! Let us think big and go to the next level. Michezo inataka pesa, usijidanganye dogo! Hakuna maskini jeuri.
Nimekwambia tunataka kuendesha Club kwa fedha, kutoka kwa mtu yeyote mwenye nazo ambaye yuko na mapenzi na Yanga, hata kama siyo Manji! Dogo, timu zote duniani zilizofanikiwa zinamilikiwa na mabilionea. Hakuna bla bla hapo. Tizama Simba yenu ilivoingiza uswahili katika michezo na kuishiwa kuitwa " wa mchangani, wa matopeni" miaka minne mfululizo. Mpeni timu MO muone kama uteja hautaisha!Umeandika ukweli lakini Yanga mnataka kuendesha timu yenu kwa hela ya Manji ? Hebu iambie dunia hapa ikusikie .
Ikiwezekana acha klabu iendelee kuendeshwa kwa pesa za Manji...... Halafu akitoka madalakani klabu itaendeshwa kwa pesa za klabu kama ilivyokuwa awali kabla manji hajawa kwenye nafasi ya uongozi.Umeandika ukweli lakini Yanga mnataka kuendesha timu yenu kwa hela ya Manji ? Hebu iambie dunia hapa ikusikie .
Sawa, lakini usifumbie macho ukweli! Club zote zenye mafanikio haziendeshwi kwa pesa za watu wa vijiweni, wacheza bao! Angalia mfano mdogo tu wa Club za hapa Africa zilizofanikiwa kama TP Mazembe, owners wao kama akina Moise Katumbi in watu wanaojiweza kifedha. Hamdani Al Mactoum anayemiliki Club yenye mafanikio kama Al Ahly ya Misri ni bilionea! Nawaf bin Saad ni bilionea anayemiliki El Hillal ya Sudan, mojawapo ya Club kongwe Africa zenye mafanikio makubwa. This is huge money involved. Wewe unaleta siasa ya kutaka eti Yanga iongozwe na pesa za mama ntilie!Ikiwezekana acha klabu iendelee kuendeshwa kwa pesa za Manji...... Halafu akitoka madalakani klabu itaendeshwa kwa pesa za klabu kama ilivyokuwa awali kabla manji hajawa kwenye nafasi ya uongozi.
wewe mnyama...Yaani Manji mgombea pekee ! Hii miafrika ni mioga sana !
Mkuu namkumbuka sana Mwl. J. K. Nyerere alikuwa muona mbali. Enzi za uhaui wake alidiriki kusema kuwa:Usilete siasa kwenye michezo wewe, suala la uafrika linahusika nini na Manji hapa. Tunachotaka ni Maendeleo ya Club, na hapo pesa ni muhimu, uwe Mhindi, Mzungu au Mmatumbi hatujali sisi!