Nimekuwa mnywaji wa heneken tangu miaka ya 90, hakuna bia iliyo nishawishi kuacha heneken kwani ilikuwa kinywaji bomba sana.
kwa cku nilikuwa nanywa si chini ya sita.
Lakini baada ya kuchakachuliwa kwa hii kitu kila ukinywa unaona utofauti wa hali ya juu na inakufanya uumwe kichwa na kukosa usingizi .
Baada ya kuona hivyo nikastop kutumia hii kitu na ni kawa safi .
Mh nashukuru wachakachuaji wamenisaidia kuacha pombe!
Je hii kampuni ya heneken inataarifa kuwa bia yao imechakachuliwa vilivyo hapa bongo?

Kumbe watu mnakunywa pombe mkiwa hampendi eeeh! Huu ni udhihirisho kuwa huo ni utumwa wa aina yake ukiongozwa na pepo wa ulevi.
Cjakuelewa mkuu
Mkuu nilimaanisha kuwa, mtoa mada anashukuru kuchakachuliwa kwa hiyo pombe maana kumemsaidia kuiacha. Hii inamaanisha kuwa mtoa mada alikuwa anakunywa pombe bila kupenda, na kwa tafsiri nyingine kuwa imemusaidia kuacha kitu kibaya. Na katika ulimwengu usioonekana, watu wanafanya vitu vibaya kwa kuongozwa na mapepo (mashetani) husika katika fani hiyo mfano ulevi n.k. Natumai nimeelewa sasa.