W wakushanga JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 552 Reaction score 92 Nov 4, 2010 #1 jamani hawa ccm na nec yao nivipi maana utadhani hizi kura nimali yao Segerea baada ya kubana matokeo kwa muda mrefu sasa eti wao ndo washindi!!!!!
jamani hawa ccm na nec yao nivipi maana utadhani hizi kura nimali yao Segerea baada ya kubana matokeo kwa muda mrefu sasa eti wao ndo washindi!!!!!