Uchakachuaji Mafuta Unatumaliza Na Serikali Haifanyi Kitu

Nchi hii hatuna viongozi kabisa. Kwa nini lakini wote wako kimya?
Teh teh teheee......hapo umenena mkuu, maana JANA NILIKUWA NAANGALIA TBC1 KUHUSU WACHAKACHUAJI....... WE ACHA TU......MKULU WA NCHI ANAONGEA KINYOOOONGE, YAANI HATA KAMA MIMI NDIYE NINAYE CHAKACHUA SIWEZI OGOPA.......HAONGEI KITU KWA SAUTI KUU...ANABEMBELEZA BEMBELEZA TU. HAKUNA CHA KUKEMEA WALA NINI......

......MIMI NILITEGEMEA ANGEONGEA KWA SAUTI KUU.....KWAMBA HAWA LAZIMA TUFE NAO....HAIWEZEKANI WATU WACHACHE...WANATUVURUGA KIASI HIKI...

ONA SASA HADI WATU TU WA KAWAIDA WANAWATAJA WATU WANAOHUSIKA HALAFU YEYE ANACHEKA TU.............
MWAKA HUU TWAFWA.......
 

Mimi naona hii amani watu wanaichezea sana.Tusije kushangaa wananchi wakichukua hatua mikononi mwao kwani inafika wakati watu tunachoka.What is the point ya kuwa na mahakama,polisi,bunge na raisi kama haya yote ya ufisadi ni vigumu kushughulikiwa?Mobutu alikuwa hivi hivi.Trust me,itatokea mtu mmoja tu kwenye army akasema sasa basi.Am not wishing for this lakini tunaelekea huko."We create our own monsters", so they say and that is the case here.Maisha si kuchekeleana.Just because umezaliwa kwenye bomba la maji isiwe tabu kwa wewe kuwanyanyasa watu na kutaka hata kile kidogo kilichopo kwenye kisima cha kijiji.
 

Kwani vituo anavimiliki RA, au haupati usingizi usipomtaja RA. Kwa kweli WA-TZ hatuwezifika, badala ya kuangalia chanzo cha tatizo tunaendeleza majungu. Usipojua chanzo cha tatizo hautaweza tatua tatizo lilio mbele yako. Wewe endelea kung'ang'ana na RA kwenye kila jambo utaliwa.
 
Uwajibikaji wa watu wetu ni mdogo. Hulka ya kulindana inalitafunataifa hili.
Kama mtu anaweza kukupa information za muhimu ili uchukue hatua, kisha inageuka kuwa informer wa watuhumiwa wakati ulitakiwa uwachukulie hatua ni aibu kubwa sana. Great thinkers tupeni njia Mbadala ya kukabiliana na tatizo hili maana wenye mamlaka wanatuzunguka. Tufanyeje kama taifa kutokomeza uchakachuaji maana unaathiri uzalisha,mitambo magari na hivyo kudhoofisha uchumi pia.
 

mzizi wa mambo ni ra: Kama huamini trust me, utakuwa umepigwa upofu na hao mafisadi. Some thing should be done kunusuru taifu ndugu yangu. Think!!
 
Hivi mkuu wa kaya ukisikia haya unalala kweli?? Au unapanda zako ndege kwenda kupumzika japo siku mbili tatu! Kwa kiongozi makini majina yamekwisha tajwa lililobaki utekelezaji tu, sheria zipo za uhujumu uchumi na huo pia ni uhujumu, maana hukosi kusema utawala wako ni wa kisheria na katiba ili uwanusuru rafiki zako!
 

Huyo RA anakula watu? Au ataliwaje ndg yangu?
 

Ndg yangu iko cku itafika mwisho wao. Huu utawala mbovu namna hii, watu watachoka na hakuna atakaewazuia!
 
Nchi la mataahira hili!! Mimi naenda kulala!!! Utafikiria hatuna Rais nchi linajiendea tu!! Pam******f
 
Niliwahi kusikia katika mazungumzo haya ya uchakachuaji wafuta jamaa mmoja akesema ukiagiza lita milioni moja za mafuta ya taa ukichakachua unapata milioni 440! Nani ataacha? Labda kwa kutumia shaba! Ndiyo wataacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…