Elections 2010 Uchakachuaji: Tunaomba Chadema Watupe Kura Halisi Kwenye Majimbo

Elections 2010 Uchakachuaji: Tunaomba Chadema Watupe Kura Halisi Kwenye Majimbo

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Jamani mimi nina amini hapa JF kila mtu amepita skuli.

Tunaomba uongozi wa Chadema watoe matokeo halisi ya majimbo (kwa kutumia fomu za mawakala). Angalau kwa majimbo 100 hivi.

Lengo:

Tuchunguze mathematically, ni nini walichokuwa wanafanya wachakachuaji kuzitafuta asilimia zilizotangazwa na Synovate?

Inawezekana.

Leteni matokeao.
 
Back
Top Bottom