Jamani mimi nina amini hapa JF kila mtu amepita skuli.
Tunaomba uongozi wa Chadema watoe matokeo halisi ya majimbo (kwa kutumia fomu za mawakala). Angalau kwa majimbo 100 hivi.
Lengo:
Tuchunguze mathematically, ni nini walichokuwa wanafanya wachakachuaji kuzitafuta asilimia zilizotangazwa na Synovate?
Inawezekana.
Leteni matokeao.