MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
"nchini RIBERIA"- nina mashaka na hii taarifa...
Huyu mbabe hapo juu anaitwa CHARLES D.B KING
Katika uchaguzi unaoitwa wa kidemokrasia nchini RIBERIA jamaa alimshinda mpinzani wake THOMAS J FAULKNER kwa kura zilizokuwa nyingi kuliko idadi ya watu waliojiandikisha.
Watu waliojiandikisha walikuwa 15000, Mbabe huyu akajishindia kiti cha urais kwa kura 240,000 huku mpinzani wake akijichukulia kula 9000. Huu ulikuwa uchaguzi wa mara ya tatu jamaa akitetea kiti chake.
Tusishangae kwa nini Afrika ni vigumu kumtoa mtu ambaye Tayari ni Rais na anatetea kiti chake.
Liberia"nchini RIBERIA"- nina mashaka na hii taarifa...
Mkuu hii kitu hata kama wangekuwepo waangalizi kutoka nje kama miaka hii, wangezimia woteHahaha! Hakika Jamaa alifanya Kituko sana. Waliojiandikisha 15,000 huku waliopiga kura halali 249,000. Bado ambazo zimeharibika.
Ninachokiona hapa,mpinzani wake alipata hizo kura 9000 huku yeye akiambulia kura Pungufu ya 6000 sasa kucheza Mazingaumbwe akazidisha idadi.
Ni kweli nchini Liberia. Najua unatia shaka sababu ya jina la huyo rais na picha yake. Huyo alikuwa Mliberia-Mmarekani. Yaani baba au mama yake alikuwa na asili ya Marekani."nchini RIBERIA"- nina mashaka na hii taarifa...
mkuu vipi? L R"nchini RIBERIA"- nina mashaka na hii taarifa...
Nimemkubali kwenye huo mustachi..ha ha ha ha ha!
Huyu mbabe hapo juu anaitwa CHARLES D.B KING
Katika uchaguzi unaoitwa wa kidemokrasia 1927 nchini LIBERIA jamaa alimshinda mpinzani wake THOMAS J FAULKNER kwa kura zilizokuwa nyingi kuliko idadi ya watu waliojiandikisha.
Watu waliojiandikisha walikuwa 15000, Mbabe huyu akajishindia kiti cha urais kwa kura 240,000 huku mpinzani wake akijichukulia kula 9000. Huu ulikuwa uchaguzi wa mara ya tatu jamaa akitetea kiti chake, kwa kituko hiki Jamaa aliingizwa kwenye record za dunia.
Tusishangae kwa nini Afrika ni vigumu kumtoa mtu ambaye Tayari ni Rais na anatetea kiti chake.
swissme hebu achana na wakurya, issue ndogo tu watataka kukucharaza mapangamkuu vipi? L R
swissme