Kupitia hotiba yake ya mdahalo pale anatoglo, mheshimiwa mkwere aliongelea juu ya uchakachuaji kupitia mtandao. alisema, nanukuu ' nivigumu kuchakachua matokeo, labda wakosee ktk kuingiza matokeo' mwisho wa kunukuu.
alichosema ndio kinafanyika sasa. nec inakosea kuingiza matokeo kwa kubadilisha kura haswa za urais.