Uchakachuzi kuchelewesha matokeo kidato cha nne.

Uchakachuzi kuchelewesha matokeo kidato cha nne.

Tilya18

Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
45
Reaction score
7
Yadaiwa kuwa kutokana na uchakachuzi, matokeo ya kidato cha nne yatachelewa. Inasemekana kuwa matokeo hayo yanachakachuliwa kutokana na kuwa mabaya kiasi cha kutisha ambavyo ingeweza kuleta aibu kwa taifa na wizara husika; hivyo baraza linajaribu kuyaboresha ili kuondoa aibu ambayo ingelipata taifa hili.
 
Back
Top Bottom