Uchakachuzi wa elimu ni chanzo cha ukaribishaji wa majambazi

kapvs

Member
Joined
May 2, 2013
Posts
13
Reaction score
0
ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha kuona elimu yetu ambayo ilijengewa misingi bora na imara sasa inaangamia. Ikumbukwe kuwa mwalimu julius kambarage aliifanya elimu ya tanzania kuonekana nzuri na yakuigwa na mataifa mengne ya jumuia ya afrika mashariki mfano, uganda, kenya nk. Lakini leo unapoongea elimu ya tanzania imekuwa ikiangamia kila leo kwani imejaa siasa na kuonekana ni kichwa cha mwendawazimu, kila mtu anaiona elimu hii ni kitu cha kawaida. Serikali ijitathimin upya ili iweze kuokoa elimu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…