Uchakavu wa Madarasa Unavyo Hatarisha Maisha ya Wanafunzi Shule ya Msingi Buzilasoga wilayani Sengerema

Uchakavu wa Madarasa Unavyo Hatarisha Maisha ya Wanafunzi Shule ya Msingi Buzilasoga wilayani Sengerema

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Wakazi wa kijiji cha Buzilasoga Wilayani Sengerema wametoa wito kwa serikali kuharakisha kubomoa madarasa mabovu katika shule ya msingi Buzilasoga ili kuepusha hatari inayoweza kuwakumba wanafunzi pamoja na walimu shuleni hapo.

Hali ya madarasa hayo ni mbaya sana kwani kwani yamejengwa mika ya nyuma hivyo kusababisha wanafunzi kusomea chini ya miti

Wananchi hao wamesema hayo katika mkutano wa kijiji uliofanyika siku ya jana ambao uliojikita kuangazia uchakavu wa miundombinu unaoikumba shule hiyo pamoja na hali ya usalama.

Wakazi wa Buzilasoga wametoa wito kwa mamlaka zinazo husika kusitisha masomo kwa wanafunzi au kuvunja madarasa ili kuepusha hatari inayoweza kutokea kutokana na uchakavu wa miundombinu hiyo ya shule

uchakavu wa miundo mbinu
 
Back
Top Bottom