Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #21
Ni Musiba Ndiye Anayeandika Upuuzi Huo Huko?
Sijaandika kwa ajili ya kusapoti wala kukanusha, nimeandika athari inayoweza kusababishwa na taarifa kama hizo.Chama kama chama "CHADEMA" hakijakanusha je tunapataje nguvu ya pamoja kumshambulia Musiba kuhusu ili. Je unatuaminishaje kama kilichoandikwa ni uongo!
Chama kama chama "CHADEMA" hakijakanusha je tunapataje nguvu ya pamoja kumshambulia Musiba kuhusu ili. Je unatuaminishaje kama kilichoandikwa ni uongo!
TANZANIA hamnaga serious Newspapers ukiondowa mwananchi anae jitahidi sana tena ni kampuni ya Kenya.....sijui nyie mda wakusoma udaku huwo mnautoa wapi?.......hata ukisoma headlines nakiliomo ndani nivitu viwili tofouti.