Uchambuzi huru wa mchezaji mmoja mmoja

Akutane na mafundi km mkude , chama, kotei, nadhani mutapotezwa
 
Uko sahihi kiongozi..huyu balimi ziko kichwani tumsubiria ahsubui
 
Ajibu wa sasa hivi ni motrooo... ana stamina pumzi tofauti na mwanzo... msituletee mataputapu yenu wakina mkude hao
 
Mkude na Ajibu hawachezi position moja, hao ni wachezaji tofauti kabisa. Hapo nyuma walicheza klabu moja. Mmoja alikuwa anasugua bench nyingine alikuwa anacheza mechi week in week out
Ajibu wa sasa hivi ni motrooo... ana stamina pumzi tofauti na mwanzo... msituletee mataputapu yenu wakina mkude hao
 
Nimekuambia miaka ya hivi karibuni, miwili mpaka mitatu ambapo wachezaji ni almost walewale. Sasa hizo data za 1968 nipe.wewe.
Nipe records za jumla Kati ya Simba na Yanga ni nani aliemfunga mwenzake goals nyingi,match nyingi na kuchukua ubingwa mara nyingi zaidi ya mwenzake.
 
Nimekuambia miaka ya hivi karibuni, miwili mpaka mitatu ambapo wachezaji ni almost walewale. Sasa hizo data za 1968 nipe.wewe.
Mbona unachagua takwimu zilizopita tena zile zinazoku favour wewe?leta hapa takwimu zote kuanzia mwanzo mpaka leo hii zikiwepo hizo unazodai za miaka ya karibuni unayotaka wewe.
 
Sijasoma yote uliyoandika ila uliposema ajibu kazaliwa upya nikajua we soka unalijua
Ulipotaja ule muasist wa videoni nikajua unaongea kiuweledi basi nikachangia
 
Akikujibu naomba unitag. Mara nyingi record wana haki ya kuzitumia wao, wenzao wakizitumia eti mambo ya zamani hayo...mikia bwana, wana taabu sana.
Nipe records za jumla Kati ya Simba na Yanga ni nani aliemfunga mwenzake goals nyingi,match nyingi na kuchukua ubingwa mara nyingi zaidi ya mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…