Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Haya makolo yashindwe nyumbani kisha yakashinde huko Misri?? Hakunaga kitu kama hicho Mkuu.
Kwanza bora tu yasiende maana yanaenda tena kututia Aibu na tunapoteza rasilimali fedha na muda juu.
Hizo fedha ambazo zitatumika kuwasafirisha ni bora zichukuliwe zikajenge darasa.
 

Swaumu Ya Leo kali...mtu unakuwa kama hamnazo vile, Haji manara aliwamaliza kuwaita hamnazo isipokuwa wawili...!
 
Na bei ya ng'ombe ipoje?
Kulingana na mbegu/kilo bei zipo kama ifuatavyo;
-Kilo 70-90 400,000-550,000/=.
-Kilo 95-120 600,000-700,000/=.
-Kilo 130-150 750,000-850,000/=.
-Kilo kuanzia 160 kwenda juu 900,000-1,100,000/=.
Wewe unamtaka yupi ndugu?
 
Haiwezekani mkuu
 
Hakuna mwana Simba yeyote anayeamini kwamba Simba itaifunga na kuitoa Al ahly. Labda kama wana Yanga ndo wanaamini hivyo ila si wana Simba.
 
Hakuna mwana Simba yeyote anayeamini kwamba Simba itaifunga na kuitoa Al ahly. Labda kama wana Yanga ndo wanaamini hivyo ila si wana Simba.
Au ndo maana wanahasira sana[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…