Duh tusitishane brooNilichokiandika kwenye ile mada ni hiki sijaongeza wala kupunguza neno
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
Rangi, maumbo na michoro kiroho huwakilisha vitu vikubwa sana.. Na in fact hesabu za kiroho ziko kwenye hayo mambo matatu..RANGI, MAUMBO NA MICHORO...!
Kwenye rangi sio ishu tena kwakuwa waliozichagua walishazipitisha na zikapata kibali cha kiroho... Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani.. Soma vitabu hivi kama rejea Green Traveller na The Hog!
Maumbo pia yana nguvu kubwa sana kiroho, na ndio maana watu huchukua muda mwingi kubuni ama kutumia umbo lenye uhai ama connection na roho.. Hapa sizungumzii uchawi na ushirikina vilabuni.. Ukitaka kujua nguvu ya maumbo tembelea majumba ya maonesho yenye maumbo na picha za vitu mbalimbali na ukae sehemu ya utulivu.. Hisia utakazopata ni tofauti kabisa na hisia utakazopata utakapoingia jumba lisilo na mapichapicha.. Hivi vitu huumba roho..
Michoro hasa yenye kuwakilisha vitu vyenye uhai hii ndio huwa hatari zaidi kama isipochaguliwa kwa umakini mkubwa.. Michoro ya maeneo, viumbe hai na chochote chenye kiasili na uhai imebeba maroho mazuri na mabaya
Kwa kutaka utofauti lakini bila kuzingatia mambo haya ya kiroho.. Timu ya Yanga msimu huu imekuja na jezi zilizoelemwa na michoro ya maeneo mbalimbali ya mji wa Dar na kwingineko na vitu vingjne pia vinavyowakilisha mpaka GPS nadhani[emoji3]..
Matokeo yake jezi kimwonekano inakuwa nyepesi lakini kiroho imelemewa mnoo
Ina picha ya askari monument pale Posta... Ni mnara unaowakilisha roho zilizokufa vitani
Kuna michoro ya uwanja wa fisi[emoji24]
Kuna maeneo mbalimbali ya makaburi
Kuna kila aina ya michoro yenye kukumbusha machungu na mambo ya kuumiza pia.. Haya yote yamekusanywa kwenye kitambaa kisichozidi mita moja
Ni maroho mangapi kwa pamoja yanabebwa na mchezaji mmoja kwa wakati mmoja.. Hapo achilia mbali na yale mahirizi .. Mwisho mchezaji anajikuta ni mwepesi wa kilo 60 lakini akicheza utadhani ana kilo 135 kamili..[emoji23]
Ni mtazamo tuu wa kiroho tusitupiane mawee
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Point muhimu kwenye mada yangu zinazoonyesha mizania na uwiano wa kutoongozwa na mahaba upofu ni hizi hapa
1.Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
2.Kwenye rangi sio ishu tena kwakuwa waliozichagua walishazipitisha na zikapata kibali cha kiroho... Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani..
3.Ni mtazamo tuu wa kiroho tusitupiane mawee
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
-Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
-Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho..
-mtazamo tuu wa kiroho
Hapana najaribu kuweka mambo sawa kuepusha uongo na upotoshajiDuh tusitishane broo
[emoji23][emoji23]Labani og na ukikaidi utapigwa2 nadhani mmeona uhalisia sasa wa pumba mliziandika ndio maana hata wanayanga wenzenu wameshindwa kuwapa support..!
Mada ina masaa 19 lakini imechangiwa na nyie wawili tuu [emoji23]! Mlitaka kuni down grade mmeshindwa vibaya mno mno mno..[emoji23] Aibu hii mtaipeleka wapi?
Sasa alichoandika Labani og ni uchambuzi au ni uchwambuzi?.. Ngoja niyaweke mabandiko yote hapa tuyajadili kwa pamoja walau mada ichangamke msijisikie vibaya
Mkuu lakn si umeona .....imekuwa vice versa [emoji23]Nilichokiandika kwenye ile mada ni hiki sijaongeza wala kupunguza neno
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
Rangi, maumbo na michoro kiroho huwakilisha vitu vikubwa sana.. Na in fact hesabu za kiroho ziko kwenye hayo mambo matatu..RANGI, MAUMBO NA MICHORO...!
Kwenye rangi sio ishu tena kwakuwa waliozichagua walishazipitisha na zikapata kibali cha kiroho... Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani.. Soma vitabu hivi kama rejea Green Traveller na The Hog!
Maumbo pia yana nguvu kubwa sana kiroho, na ndio maana watu huchukua muda mwingi kubuni ama kutumia umbo lenye uhai ama connection na roho.. Hapa sizungumzii uchawi na ushirikina vilabuni.. Ukitaka kujua nguvu ya maumbo tembelea majumba ya maonesho yenye maumbo na picha za vitu mbalimbali na ukae sehemu ya utulivu.. Hisia utakazopata ni tofauti kabisa na hisia utakazopata utakapoingia jumba lisilo na mapichapicha.. Hivi vitu huumba roho..
Michoro hasa yenye kuwakilisha vitu vyenye uhai hii ndio huwa hatari zaidi kama isipochaguliwa kwa umakini mkubwa.. Michoro ya maeneo, viumbe hai na chochote chenye kiasili na uhai imebeba maroho mazuri na mabaya
Kwa kutaka utofauti lakini bila kuzingatia mambo haya ya kiroho.. Timu ya Yanga msimu huu imekuja na jezi zilizoelemwa na michoro ya maeneo mbalimbali ya mji wa Dar na kwingineko na vitu vingjne pia vinavyowakilisha mpaka GPS nadhani[emoji3]..
Matokeo yake jezi kimwonekano inakuwa nyepesi lakini kiroho imelemewa mnoo
Ina picha ya askari monument pale Posta... Ni mnara unaowakilisha roho zilizokufa vitani
Kuna michoro ya uwanja wa fisi[emoji24]
Kuna maeneo mbalimbali ya makaburi
Kuna kila aina ya michoro yenye kukumbusha machungu na mambo ya kuumiza pia.. Haya yote yamekusanywa kwenye kitambaa kisichozidi mita moja
Ni maroho mangapi kwa pamoja yanabebwa na mchezaji mmoja kwa wakati mmoja.. Hapo achilia mbali na yale mahirizi .. Mwisho mchezaji anajikuta ni mwepesi wa kilo 60 lakini akicheza utadhani ana kilo 135 kamili..[emoji23]
Ni mtazamo tuu wa kiroho tusitupiane mawee
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Point muhimu kwenye mada yangu zinazoonyesha mizania na uwiano wa kutoongozwa na mahaba upofu ni hizi hapa
1.Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
2.Kwenye rangi sio ishu tena kwakuwa waliozichagua walishazipitisha na zikapata kibali cha kiroho... Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani..
3.Ni mtazamo tuu wa kiroho tusitupiane mawee
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
-Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
-Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho..
-mtazamo tuu wa kiroho
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Alichoandika Labani og akikipa hadhi ya uchambuzi
Habari wana jf
Pale Mwanzo wakati jezi za Simba Zina zinduliwa tukikutana na ndugu Mshana Jr kuzijadili kutokana na kujaa Kwa Makolo kolo mengi kwenye jezi hizo hivyo kuleta uzito watimu imagine jezi inakaranga, unga , mafuta, sabuni wa kuchukua kombe lolote na ndicho kilichotokea
Pili ni tukio la Simba kuigizia jeneza pale Simba day
Lile tukio lilikuwa simple sana kikawaida but spiritually lilikuwa tukio Baya sana Kwani lilikuwa linamaanisha kuizika ( kuigizia) timu......hii inamaanisha walifanya bila kujua madhara yake
NB: ignorance of the law is not an excuse [emoji23][emoji23]
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Alichochangia ukikaidi utapigwa2
Nlimwambia Mshana Jr akaleta porojo nyingi pamoja na kua mtu mwenye maarifa kibao ila mahaba yanampofusha sasa anakula alipo peleka mboga
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Sasa katika hizo mada mbili na hiyo reply moja
Ni ipi ni uchambuzi na ni ipi ni uchwambuzi?
Katika hizo mada mbili ni reply moja ni kipi ni porojo na ni kipi kinachoakisi mtiririko wa hoja bila kuegemea mahaba ya kijinga?[emoji23]
Haya tuendeleeni sasa
Kivipi? Umesoma kweli na kuelewa nilichoandika?Mkuu lakn si umeona .....imekuwa vice versa [emoji23]
Kivipi? Umesoma kweli na kuelewa nilichoandika?
Jina la Mshana Jr ni zito sana.Labani og na ukikaidi utapigwa2 nadhani mmeona uhalisia sasa wa pumba mliziandika ndio maana hata wanayanga wenzenu wameshindwa kuwapa support..!
Mada ina masaa 19 lakini imechangiwa na nyie wawili tuu [emoji23]! Mlitaka kuni down grade mmeshindwa vibaya mno mno mno..[emoji23] Aibu hii mtaipeleka wapi?
Sasa alichoandika Labani og ni uchambuzi au ni uchwambuzi?.. Ngoja niyaweke mabandiko yote hapa tuyajadili kwa pamoja walau mada ichangamke msijisikie vibaya
Niko Kahama Tatar niko Tasia bar hapa[mention]Mshana Jr [/mention] naomba nije PM kwako kuna jambo personal naomba unisaidie
Basi vizuriYaaah mkuu nmekupata vyema kabisa
Niko Kahama Tatar niko Tasia bar hapa
Basi vizuri