Uchambuzi: kwanini Simba ni ngumu kutoboa Kwa waarabu

Wakija wakakwambia Simba ni Bwana ako utakasirika?
Hiviii, huko aliko huyu Labani og ,huwa nako wanatoa kitu kama kule kwa MATAGA (zile BUKU 7/7), kila aiandikapo Simba? Maanake, naona hana kazi, zaidi ya kuiandika Simba tu.
Kwa uchache, ndani ya siku chache kisha ianzishia Simba thread zifuatazo: -

14/8/2023
Kwa timu hii, Simba haitoboi Super League

24/8/2023
Bin Kazumari: Simba wascreeshoot msimamo wa ligue.

3/9/2023
Ushauri: Simba wagomee mechi na Al Ahly

5/9/2023
Simba kumfunga Al Ahly wanapaswa kuwa na kikosi cha Yanga.

9/9/2023
Simba iombeni radhi Ngome FC

15/9/2023
Uchambuzi: Simba atapigwa 3-0 na Power Dynamo

17/9/2023
Simba angekandwa vibaya na Al Mereikh

21/9/2023
Utabiri wa leo: Simba 0:2 Coastal Union

21/9/2023
Mchambuzi: Simba bado wanacheza mpira wa ovyo.

22/9/2023
Eddo Kumwembe: Kinachowatesa Simba ni hiki hapa

30/9/2023
Simba ikimfunga Power Dynamol mje mnipige vibao

1/10/2023
Utabiri wa leo: Simba 0:2 Power Dynamol

1/10/2023
Mpaka sasa kila timu inaomba ipangiwe na Simba

2/10/2023
Simba angekandwa ngapi angecheza na Future FC

9/10/2023
Wana Simba tuombe referees wa Kibongo wakachezeshe CAF Champions

3D
Je wajua: Simba ndiyo timu inayoongoza kupokea vichapo vizito E.A

2D
Uchambuzi: Kwa nini Simba ni ngumu kutoboa kwa waarabu

--
Tuache utani Simba kushinda kwa Al Ahly haiwezekani
 
Duuuuh
 
Sawa mama
 
Ni deiwaka hapo club ya madimbwini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…